Wednesday, 12 April 2017

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhitimisha  Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu hoja mbalimbali za wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini Dodoma na baadae wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza Kikao cha sita cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 kipindi cha jioni Leo Aprili 12, 2017 Mjini DODoma.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijibu hoja mbalimbali za wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini Dodoma na baadae wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka Fedha 2017/2018.Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu  Kazi Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde  akijibu hoja mbalimbali za wabunge waliochangia katika Hotuba yake ya Bajeti leo Mjini Dodoma na baadae wabunge hao kuipitisha kwa pamoja Bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka Fedha 2017/2018.

(PICHA ZOTE NA RAYMOND MUSHUMBUSI MAELEZO DODOMA).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment