Friday, 21 April 2017


Baadhi ya wabunge wakiwa kwenye ibada ya kuaga mwili wa marehemu mbunge mwenzao, Mhe. Dkt. Elly Marko Macha(55) kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 21, 2017
 Maafisa usalama wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt. Elly Marko Macha,(55), wakati wa ibada ya kuaga mwili wake kwenye viwanja vya bunge jini Dodoma leo Aprili 21, 2017. Spika wa bunge Job Ndugai, aliwaongoza wabunge kuaga mwili wa Dkt. Macha aliyekuwa Mbunge wa viti Maalum, (CHADEMA). Dkt. Elly Macha ambaye alikuwa mlemavu wa macho, alifariki dunia Machi 30, mjijini London nchiniUingereza alikokuwa akipatiwa matibabu. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani Arusha kwa mazishi yatakayofanyika kijijini kwao Kirwavunjo mkoani Kilimanjaro Jumamosi Aprili 22, 2017.
(PICHA NADAUDI MANONGI-MAELEZO, DODOMA).
 
Spika wa bunge Mhe. Job Ndugai, akizunguzma wakati wa ibada hiyo
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
 Spika wa bunge Mhe. Job Ndugai
 Kiongozi wa kambi ya upiznani bungeni, Mhe. Freeman Mbowe
Viongozi wakiwa wanafuatilia ibada hiyo
 Familia ya marehemu
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe
Mhe. Mbowe, akitoa shukrani zake
Reactions:

0 comments:

Post a Comment