Monday, 3 April 2017


"Ni simanzi kubwa, baba yetu mdogo, Profesa Lloyd Manamba Binagi, amefariki dunia hii leo Aprili 3, 2017 Jijini Dar es salaam.

Taratibu za kuusafirisha mwili kwenda nyumbani Tarime zinafanyika. Pumzika kwa amani baba, ulikuwa nguzo muhimu kwetu, daima tutakukumbuka, Amina". George Binagi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment