Thursday, 6 April 2017


Madaktari bingwa wa upasuaji wa Moyo  wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Healing Little Heart ya mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa moyo leo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya wagonjwa sita wameshafanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri. (PICHA NA ANNA NKINDA – JKCI)Reactions:

0 comments:

Post a Comment