Tuesday, 4 April 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akikata utepe kuzindua Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Mgelema Aprili 4, 2017, Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC Dkt. Said Seif Mzee.(PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akIpata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Miundombinu Ng,Mustafa Aboud Jumbe alipotembelea ujenzi wa Barabara ya Ole-Kengeja mpaka Ole Muhogoni Kiziwamaji,akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijijini cha Mgelema Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu kijijini hapo akiwa katika ziara ya kikazi

Katibu Mkuu Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Bw.Bakari Haji Bakari akitoa maelezo ya Kitaalam kuhusu ujenzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake  Mkoa wa Kusini Pemba,mara baada ya kuzinduliwa rasmi leo 04/04/2017na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijijini cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu kijijini akiwa katika ziara ya kikazi

Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wengine waliohudhuria katika uzinduzi wa kituo kipya cha Shirika la ZSTC cha ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba,wakimsikiliza Waziri wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi Kijijini hapo leo akiwa katika ziara ya kikazi.


  Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi wa Kijijini cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu
Reactions:

0 comments:

Post a Comment