Saturday, 8 April 2017NA K-VIS BLOG
MSANII Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki na wenzake watatu, wamepatikana Aprili 8, 2017.
Roma na wenzake wamepatikana baada ya “kutekwa” Alhamisi jioni.
Taarifa zizlianza kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii.
Hata hivyo Roma alipozunumza na waandishi wa habari majira ya jioni baada ya yeye na wenzake kufanyiwa vipimo kwenye hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, alisema yeye yuko na wenzake wako salama, ingawa alionekana akichechemea, na kuwaahidi waandishi wa habari kuwa ataongea zaidi Jumatatu.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment