Wednesday, 26 April 2017


IMG_20170426_113307
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gamboa akiwa ameshika mkasi baada ya uzunduzi wa barabara ya St.James na Mahakamani Jijini Arusha, Kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Mhe. Gabriel Daqarro.(PICHA NA VERO IGNATUS BLOG).

Watoto wenye ulemavu kutoka shule ya msingi Meru jijini Arusha, wakiimba wimbo wa Taifa wakiongozwa na mwalimu Neema Lema (PICHA NA VERO IGNATUS BLOG)

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiangalia kwa makini
kile ambacho mtoto mwenye ulemavu Amina kutoka shule ya msingi Meru akitumia kompyuta katika kuhariri video aliyoichagua. Aliyeshika kipazasauti ni mtaalam wa masomo ya Tehama katika kitengo cha walemavu bi.Betha Denis.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment