Tuesday, 25 April 2017

Rais  Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Tarime mjini Esther Matiko (Chadema) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa  Dulles  Washington DC nchini Marekani ,wakiwa wanarejea nchini kutoka Marekani walikokuwa wakihudhuria mkutano wa kimataifa  uliowajumuisha  viongozi mbalimbali  wa nchi  wanachama wa  Benki  ya Dunia na na IMF, asasi za kiraia, mashirika  binafsi kuzungumzia masuala ya mbalimbali has afya na elimu. Tayari viongozi hao wamewasili nchini na wanaendelea na majukumu yao

Mkutano huo umeazimia nchi na mashirika mbalimbali  kuwekeza kwenye  Lishe ili mataifa  kuepuka  kuwa na  watu wenye  udumavu na hivyo kuathiri uchumi wa  nchi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment