Saturday, 29 April 2017


Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akimshukuru  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuondoka uwanja wa ndege wa Dodoma kuelekea mkoani Kilimanjaro leo Aprili 29, 2017. Pamoja na mambo mengine Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za Mei Mosi zinazofanyika kitaifa mkoani humo  (PICHA NA IKULU)
Rais akimsikiliza mkuu wa mkoa wa Dodoma, Mhe. Jordan Rugimbana, wakati akielekea kupanda ndege
Rais akiwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai


Rais akiagana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa
Rais akiagana na Spika Ndugai
Rais akizungumza jambo wakati akisubiri kuondoka mjini Dodoma
Rais akizungumza na viongozi wa srkali na CCM, saa chache kabla ya kuondoka uwanja wa ndege wa Dodoma leo Aprili 29, 2017


Reactions:

0 comments:

Post a Comment