Wednesday, 5 April 2017 Rais John Pombe Magufuli akimwapisha Prof. Kitilia Alexander Mkumbo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam April 5,2017 
Rais Magufuli, akisaini kiapo
Rais akimkabidhi Profesa Mkumbo, "nyenzo" za kufanyia kazi
 Rais john Pombe Magufuli, a,kimuapisha Dkt. Ave Maria Semakafu, kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimwapisha Dkt. Leonard akwilapo kuwa katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam
  
 

Reactions:

0 comments:

Post a Comment