Wednesday, 5 April 2017

A
Mtaalamu wa Nishati kutoka Kampuni ya Argos Energy ya Ufaransa Bw. Laurent Grimaud akiwasilisha mada wakati wa warsha ya siku moja kuhusu nishati mbadala, umuhimu wake na  fursa zinazotokana na nishati mbadala.
A 1
Mshauri wa Masuala ya biashara kutoka nchini Kenya Bw. Robert Kiarie akiwakaribisha wawezeshaji kutoa mada katika Warsha ya siku moja iliyofanyika jijini Dar es Salaam iliyowahusisha wataalamu kutoka makampuni mbalimbali yanayojihusisha na uzalishaji wa nishati mbadala kutoka nchini ufaransa.
A 2
Baadhi ya Washiriki wa warsha ya siku moja kuhusu umuhimu wa nishati mbadala wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika washahiyo ya siku moja iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
A 4
Mmoja wa wataalamu wa nishati mbadala akiwasilisha mada kuhusu umuhimu wa nishati mbadala inayotokana na upepo.
(Pichazotena Frank Mvungi-Maelezo)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment