Sunday, 9 April 2017


NaibuWaziriwa Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaakofia) akifanya mazoezi na vikundi vya michezo kutoka Zanzibar na Tanzania Bara kabla ya kufungua Bonanza kubwa la michezo lililofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi, Zanzibar. Katika hotuba yake,  Masauni aliwataka wanamichezo hao pamoja na wananchi hapa nchini kwa ujumla, kudumisha mazoezi zaidi ili kutunza afya zao.(PICHAZOTENAWIZARAYA MAMBO YANDANIYANCHI).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment