Tuesday, 25 April 2017



Mwanariadha wa Tanzania, Alphonce Simbu, (aliyejifunika bendera ya taifa, amewasili nchini akitokea London Uingereza alikibuka mshindi wa tano wa Km42 London Marathon. Pichani Simbu akipokewa na meneja mawasiliano wa Multichoice- Tanzania Johnson Mshana(kulia), kocha wake Francis John na  Seif Mangwangi. Hapa ilikuwa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro KIA.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment