Tuesday, 25 April 2017Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.Harrison Mwakyembe, Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba, baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wakiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel Asha Mabula katika viwanja vya Bunge mara baada ya mrembo huyo kutembelea Bungeni Mjini Dodoma leo Aprili 25, 2017.(PICHA NA DAUDI MANONGI-MAELEZO)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment