Wednesday, 5 April 2017

1 2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys  jijini Dar es Salaam alipowaalika  nyumbani kwake na kupata nao chakula cha jioni kabla ya vijana hao kuondoka Tanzania..kuelekea katika michuano ya mataifa ya Afrika ya vijana chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika Gabon, Serengeti Boys wanaondoka  Aprili 5 kuelekea Morocco kuweka kambi ya maandalizi ya michuano hiyo.
3
Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo Sanaa na Michezo, Dr Harrison Mwakyembe akizungumza na kuwatakia vijana hao ambao wanakwenda kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya mataifa ya Afrika ya vijana chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika Gabon.
6
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys.
7 8 9 10
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys ambao wanakwenda kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya mataifa ya Afrika ya vijana chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika Gabon.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment