Thursday, 6 April 2017


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.


Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mhandisi Ramo Makani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.


Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia Bungeni leo kuhusu mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya Mapato na matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2017/2018.
(PICHA ZOTE NA RAYMOND MUSHUMBUSI WHUSM DODOMA).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment