Tuesday, 25 April 2017


Baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi watakaoshiriki katika gwaride la Sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakifuatilia shughuli za Bunge katika kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.Mwenyekiti  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge Ajira, Kazi na watu wenye Ulemavu),  Mhe. Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwele akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Hamadi Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura Nyonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe Innocent Bashungwa akiuliza swali  katika  kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 24, 2017.


Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe. Sabrina Hamza Sungura akiuliza swali  katika  kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.


Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Hamida Mohamed Abdallah akiuliza swali  katika  kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.


Mbunge wa Buhigwe, (CCM) Mhe. Albert Obama Ntabaliba akiuliza swali  katika  kikao cha kumi na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Nyonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na mbili cha Mkutano wa saba wa Burnge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 25, 2017.(Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO).

Reactions:

0 comments:

Post a Comment