Thursday, 20 April 2017Mchungaji Dkt. Getrude Rwaktare akisindikizwa na baadhi ya wabunge kuingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma ili kuapishwa kuwa mbunge wa   Viti Maalum,  Aprili 20, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Wengine kutoka kushoto ni  Wabunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso, Catherene  Magige na Joyce Mukya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali wakati alipoulizwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongoza kikao  cha bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, Aprili 20, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai  akimuapisha Mhe. Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma leo Aprili20, 2017.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai  akimkabidhi Mhe. Dkt Getrude Rwakatare vifaa vya kazi mara baada ya kumuapisha kuwa Mbunge leo Aprili 20, 2017 Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai  akiongoza kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017. Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali  katika kikao cha tisa  cha Mkutano wa kumi wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Suzan Kolimba akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.


Mbunge wa Mafinga Mjini (CCM) Mhe Cosata David Chumi  akiuliza swali  katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.


Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Stella Manyanya akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwele akijibu maswali ya wabunge mbalimbali  katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.


Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Igunga Mhe. Dalali Kafumo wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.


Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.


Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.(PICHA NA RAYMOND MUSHUMBUSI:MAELEZO, DODOMA).Reactions:

0 comments:

Post a Comment