Wednesday, 12 April 2017


Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akielezea utendaji kazi wa Taasisi hiyo katika  kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.


Kaimu Mkurugenzi Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kuhenga akielezea kuhusu mapato na matumizi ya Taasisi hiyo katika kikao cha wafanyakazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi cha TUGHE tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Godfrey Tamba  akiongelea kuhusu maslahi ya wafanyakazi katika kikao cha  wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.Daktari Bingwa wa Magonjwa ya  Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo  Waane akiongelea umuhimu  wa watumishi wa umma kufanya kazi zao kwa kufuata taratibu za kazi katika kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.


Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kwa watoto  kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Godwin Sharau akichangia mada kwenye kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.


Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hildegard  Karau akichangia mada kwenye kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.


Kulindwa Kasubi akichangia mada kwenye kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.


Wafanyakazi wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi uliopo jijini Dar es Salaam.(Picha na Anna Nkinda – JKCI).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment