Tuesday, 11 April 2017


A
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango, (katikati), akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa TPSF Dkt. Reginald Mengi, (kushoto), pamoja na makamu mwenyekiti TPSF Bw. Salum Shamte wakati wa kikao cha majadiliano baina ya serikali na sekta ninafsi jijini Dar es Salaam leo Aprili 11, 2017.
A 2
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, (mwenye suti nyeusi), kushoto ni Mhe. Dkt), Philip Mpango Waziri wa fedha na Mipango, Dkt. Reginald Mengi Mwenyekiti TPSF, pamoja na Ndugu Salum Shamte Makamu mwenyekiti TPSF
A 1
Baadhi ya washiriki wa Kikao cha majadiliano baina ya serikali na sekta binafsi.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment