Friday, 28 April 2017


Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo Aprili 28, 2018 ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.


Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kutikati) akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo Aprili 28, 2018 ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment