Wednesday, 5 April 2017

3
Kamishna mpya wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Bw.George Sakware akizungumza katika hafla hiyo kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Sam Kamanga na kulia ni Kamishna Mstaafu Bw. Israel Kamuzora.
2
Kamishina Mstaafu wa Bima Bw. Israel Kamuzora aksisitiza jambo wakati akizungumza katika hafla ya kumuaga iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam jana jioni mara baada ya kustaafu utumuishi wa Umma kushoto anayemsikiliza ni  Kamishna mpya wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima  (TIRA) Bw.George Sakware.
4
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)Bw. Sam Kamanga akizungumza katika hafla hiyo huku Kamishna mpya wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Bw.George Sakware katikati akimsikiliza kushoto ni Kamishna Mstaafu Bw. Israel Kamuzora.
5
Kamishna mpya wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Bw.George Sakware kushoto  akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakati akizungumza naye jambo.
6
Kamishna mpya wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Bw.George Sakware akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakati wa hafla ya kumuaga Kamishna Mstaafu Bw. Israel Kamuzora.
7
Kamishina Mstaafu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) Bw. Israel Kamuzora akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika jana kwenye hoteli ya Serena katikati ni Kamishna mpya wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Bw.George Sakware
8
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la MGen Insurance Bw. Charles Sumbwe akizungumza katika hafla hiyo wakati akitoa neno la shukurani kwa Kamishna Mstaafu Bw. Israel Kamuzora.
9
Mmoja wa wakuu wa mashirika ya bima akizungumza katika hafla hiyo wakati akitoa shukurani zake.
10
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la MGen Insurance Bw. Charles Sumbwe katikatin  akiwa pamoja na baadhi ya wakuu wa mashirika ya bima katika hafla hiyo.
11
Baadhi ya wakuu wa mashirika ya bima wakiwa katika hafla hiyo.
12 13
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la MGen Insurance Bw. Charles Sumbwe akijitambulisha katika hafla hiyo.
14
Mmoja wa wakuu wa mashirika hayo akijitambulisha.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment