Saturday, 1 April 2017


 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dr. Juma Malewa,(wapili kulia), na maafisa wengine wakiwemo wa Idraa ya Uhamiaji,

wakifuatilia Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichopitia Bajeti  ya mwaka wa fedha wa 2017/2018 kwa Majeshi yaliyoko katika Wizara ya Mambo ya Mambo ya Ndani ya Nchi likiwemo Jeshi la Magereza, Zimamaoto na Uhamiaji,  ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa  Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa  Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YANCHI)

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto  na Uokoaji, Thobias Andengenye akijibu hoja mbalimbali zilizoulizwa na wajumbe Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kuhusu utekelezaji wa Majukumu ya Jeshi hilo katika mwaka wa fedha uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichopitia Bajeti  ya mwaka wa fedha wa 2017/2018 kwa Majeshi yaliyoko katika Wizara ya Mambo ya Mambo ya Ndani ya Nchi,  ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa  Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa  Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.


Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dr. Juma Malewa, akitoa ufafanuzi wa shughuli zitakazotekelezwa kwenye Bajeti ya Jeshi hilo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti  ya mwaka ujao wa fedha kwa Majeshi yaliyopo  katika Wizara hiyo,  ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa  Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa  Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mkoani Dodoma.


Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni aliyesimama,  akitoa ufafanuzi  wa  Bajeti ya Jeshi la Magereza kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti  ya mwaka ujao wa fedha kwa Majeshi yaliyopo  katika Wizara hiyo,  ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa  Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa  Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr.  Anna Peter Makakala,(wakwanza kushoto), akiwa pamoja na watendaji Waandamizi wa Jeshi la Uhamiaji wakifurahia jambo wakati  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi  Adad Rajab  hayupo pichani, akiwaongoza Wajumbe wa Kamati hiyo kuipitia Bajeti  ya Jeshi la Uhamiaji kwa mwaka ujao wa fedha katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, hatua ambayo ni muhimu kabla ya kuanza kwa  Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa  Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment