Wednesday, 26 April 2017

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli akiwanpungia wananchi wakati akiwasili kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma akifuatana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma ambako kwa mara ya kwanza pamefanyika maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zilizofana, zilipambwa na gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama, maonyesho ya askari maalum wa JWTZ(komandoo), gwaride la chipukizi, nyimbo za wasanii pamoja na maonyesho ya ndege za kivita.(PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma April 26,2017.(PICHA NA IKULU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma April 26,2017.(PICHA NA IKULU)

 Amir jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma April 26,2017.(PICHA NA IKULU)
 Amiri jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akipokea heshima na wimbo wa taifa ukipigwa.(PICHA NA IKULU)
 Amiri jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akilekea kukagua gwaride liloandaliwa na vyombo vya ulizi na usalamaliloandaliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kusherehekea miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma April 26,2017
Amiri jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride liloandaliwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa ajili ya kusherehekea miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma April 26,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mama Maria nyerere mke wa Rais mstaafu wa awamu ya kwanza Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma April 26,2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mama Fatma karume mke wa Rais wa kwanza wa serikali ya mapinduzi ya Zanziabar Sheikh Abeid Aman Karume katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma April 26,2017

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa Uhuru zilizofanyika leo,ambapo Mgeni rasmi akiwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Johna Pombe Magufuli.PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR).
MUU01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na mabalozi kutoka mataifa tofauti wanaowakilisha nchi zao.(PICHA NA OMR)
MUU3
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi kulia ni Kaimu Jaji Mkuu Mh. Profesa Ibrahim Hamisi Juma
MUU4
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mh. Ali Hassan Mwinyi aliyeketi katikati na kulia ni  Kaimu Jaji Mkuu Mh. Profesa Ibrahim Hamisi Juma
MUU5
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  kulia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dk. Ali Mohamed Shein
MUU6
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dk. Ali Mohamed Shein katikati ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
MUU7
Gadi ya “Komando” la vijana likiwajibika kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
MUU8
Kwaya ya Makongoro kutoka mkoani Mwanza ikitumbuiza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
MUU1
Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima kwenye sherehe za Miaka 53 ya Muungano katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
MUU9
Reactions:

0 comments:

Post a Comment