Monday, 10 April 2017Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akikabidhiwa kombe na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Ali Mussa baada ya timu ya mpira wa miguu ya Polisi Tanzania kuchukua ubingwa katika Michezo ya Majeshi iliyomalizika hivi karibuni Visiwani Zanzibar (PICHA NA FRANK GEOFRAY-JESHI LA POLISI).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment