Sunday, 2 April 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi mbali mbali wakiwemo watendaji wa Serikali ya Mapinduzi,   Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya na Maafisa Wadhamini wakati wa ziara yake ya kukagua na kuhamasisha maendeleo kisiwani hum oleo Aprili 2, 2017. Kkushoto, ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe, Mwanajuma Majid Abdalla.(PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)


Kaimu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Khalid Salum Mohamed alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,katika ziara maalum ya kimaendeleo
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi waliojumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ziara maalum Kisiwani Pemba wakiwa katika ukumbi wa kiwanda cha makonyo chake chake Pemba katika mkutano na  Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,katika ziara maalum ya kimaendeleo
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe,Omar Khamis Othman alipokuwa akielezea changamoto mbali mbali zilizokuwemo katika Mkoa wake wakati wa Mkutano wa Viongozi mbali mbali  wa  Watendaji  wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba.
Mkuu wa Wilaya ya  Micheweni Pemba Mhe,Abeid Juma Ali alipokuwa akichangia katika Mkutano wa Viongozi mbali mbali  wa  Watendaji  wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mwenyekiti wa Mkutano huo iliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba
Mkuuwa Wilaya ya Chakechake, Mhe, Salama Mbaraouk Khatib alipkuwa akizungumzia migogoro ya Ardhi iliyopo katika Wilaya yake katika katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Viongozi mbali mbali  na  Watendaji  wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa,Wakuu wa Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa,na Wilaya na Maafisa Wadhamini, Mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa kiwanda cha Makonyo Chake chake Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa kiwanda cha Makonyo chake chake Pemba leo Aprili 2, 2017, ili kuzungumza na Watendaji mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi  wakiwemo Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya na Maafisa Wadhamini.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein, akipeana mikono na Waziri wa Afya, Mhe.Mahmoud Thabit Kombo, huku
Waziri  wa Ujenzi, Mawasilaino na usafirishaji Balozi Ali Abeid Karume, (wapili kulia) na vingozi engine wakishuhudia.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment