Wednesday, 19 April 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake  Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo Aprili 19, 2017. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na mgeni wake  Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo (kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais,(kulia)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  mgeni wake Balozi mpya wa Cuba katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Lucas Domingo Hermandez Polledo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo Aprili 19, 2017
Reactions:

0 comments:

Post a Comment