Saturday, 29 April 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohamed Raza Daramsi  wakati akiwasili kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu mbali mbali za mchezo wa mpira wa miguu (Football) iliyofanyika katika   Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheibn akimkabidhi Mwakilishi wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Mchangani Bakari Mohamed,Jimbo la Uzini vifaa vya Michezo,vikiwemo,Jezi,Shingard na Mipira MIwili,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi leo katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (aliyesimama) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa   Viongozi  na Wanamichezo wa Timu mbali mbali za Mpira wa Miguu za Jimbo la​ Uzini CCM  kabla kuvikabidhi  vifaa vya Michezo kwa Jimbo hilo  vilivotolewa leo na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta jambo na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohamed Raza Daramsi,  wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu mbali mbali za soka iliyofanyika katika   Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja
Baadhi ya Wanamichezo wa Timu mbali mbali za Mpira wa Miguu Jimbo la​ Uzini wakiwa katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Jimbo hilo  vilivyotolewa leo na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheibn akimkabidhi Mwakilishi wa Timu ya FFU Polisi Machui Jimbo la Uzini Khatib Othman,vifaa vya Michezo,vikiwemo,Jezi,Shingard na Mipira,Vifaa hivyo vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi leo katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja

Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wanamichezo wa Timu mbali mbali za Mpira wa Miguu za Jimbo la​ Uzini CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha zake wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Jimbo hilo  vilivyotolewa leo na  Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi katika Ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja
Reactions:

0 comments:

Post a Comment