Tuesday, 28 March 2017

ZA 1Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akiangaalia kadi ya Pongezi iliyoasiniwa na watumishi wa wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
 ZA
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Joyce Mtuma mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma.

ZA 2
WaziriwaKatibanaSheriaMhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana naNaibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
ZA 3
Waziri wa Katiba na SheriaMhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na Jaji mfawidhi Kanda ya Dodoma Mhe. Mwanaisha Kwariko alipowasili Wizarani mjini Dodoma
ZA 4
WaziriwaKatibanaSheriaMhe. Prof.PalamagambaKabudiakisikilizamaelezombalimbalialipokutananawatendajiwaWizaranaMahakamakatikaukumbiwamikutanoWizaranimjini Dodoma.
WaziriwaKatibanaSheriaProf.PalamagambaKabudiamewasilikatikaOfisizaMakaomakuuyaWizarazilizokondaniya Chuo Kikuu cha Dodoma nakulakiwanawatumishiwaWizarawaliokomakaomakuuyaSerikalimjini Dodoma. Prof Kabudialiapishwatarehe24/03/2017 Ikulujijini Dar Es SalaamkuchukuanafasihiyobaadayaMhe.RaiskufanyamabadilikomadogokwenyeBaraza la MawaaziriambapoDkt. Harrison MwakyembealihamishiwaWizarayaHabari, Utamaduni, SanaanaMichezo.
NjeyaOfisizaWizaraMhe. Prof. PalamagambaKabudialilakiwanaNaibuKatibuMkuu, Bw. AmonMpanju, MkurugenziwaUtawalanaRasilimaliWatuBw. AloyceMwogofi, JajiMfawidhi Kanda ya Dodoma nawafanyakaziwenginewaWizarawaliopoMakaoMakuuyaSerikalimjini Dodoma.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment