Monday, 6 March 2017


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kiongozi wa Kikosi cha Uhibiti Mipaka Nchini Uingereza, Richard Lloyd, wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Kikosi cha Uhibiti Mipaka Nchini Uingereza, Richard Lloyd, wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akimsikiliza Kiongozi wa Kikosi cha Uhibiti Mipaka Nchini Uingereza, Richard Lloyd (wapili kulia), wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania
Reactions:

0 comments:

Post a Comment