Thursday, 16 March 2017


Mwenyekiti wa WETCU, Gabriel Mukandara  (katikati) na Makamu wake, Msafiri Ngassa wakiongozwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Hamis Issah  (kulia) kuelekea kwenye gari la polisi baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza kuwa wakamatwe na kuwekwa ndani hadi uchunguzi  kuhusu utendaji wao utakapokamilika. Majaliwa alikuwa akizungumza na Wadau wa zao la tumbaku kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Machi 16, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Viongozi hao wakiwa kwenye gari la polisi kwa safari ya kuelekea mahabusu

Reactions:

0 comments:

Post a Comment