Thursday, 9 March 2017


Naibu Waziri wa fedha na Mipango, Dkt.Ashuta Kijaji, (watatu kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao, (kushoto kwake), Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimazi wa Mawasiliano(TCRA) Mhandisi, James Kilaba(kushoto)Mwenyekiti wa bodi ya Vodacom Tanzania PLC,Vivek Mathur(wanne kushoto)na Mkurugerugenzi wa kitengo cha biashara za Vodacom Tanzania PLC,Gregory Verbond,wakiponyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa Uuzaji wa hisa za Vodacom Tanzania PLC kwa Umma leo Machi 9, 2017, jijini Dar es Salaam.


Naibu Waziri wa fedha na Mipango, Dkt.Ashuta Kijaji(kushoto), akiongozana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao,baada ya kuzindua rasmi Uuzaji wa hisa za Vodacom Tanzania PLC kwa Umma leo jijini Dar es Salaam.


Kutoka kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao,Mkuu wa kitengo cha huduma za kibenki kwa makampuni wa NBC,Theobald Sabi,Mkurugenzi wa fedha wa Vodacom Tanzania PLC, Jacques Marais,Wakimsikiliza Mkuu wa kitengo cha huduma za Uwekezaji wa hisa za makampuni wa Orbit Securities,Godfrey Gabriel(katikati)alipokuwa akijibu swali kwa  waandishi wa habari (hawapo pichani)wakati wa Uzinduzi wa Uuzaji wa hisa za kampuni hiyo kwa Umma leo jijini Dar es Salaam.


Naibu Waziri wa fedha na Mipango,Dkt.Ashuta Kijaji(katikati)akiagana na Mwenyekiti wa bodi ya Vodacom Tanzania PLC,Vivek Mathur(kulia)baada ya kuzindua Uuzaji wa hisa za Vodacom Tanzania PLC kwa Umma leo jijini Dar es Salaam,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Ian Ferrao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao
Reactions:

0 comments:

Post a Comment