Sunday, 19 March 2017
Kivuko cha MV KAZI kikielea majini baada ya kushushwa kwa mara ya kwanza tayari kwa kumaliziwa na kuanza kazi, kivuko hicho kitakua kinasimamiwa na Wakala Wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) na kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 kwa wakati mmoja.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment