Friday, 10 March 2017


MSANII  wa kike wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini, Vanessa Mdee, (pichani juu), na Dumisha Heri watafikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutumia na kusambaza dawa za kulevya, punde tu upelelezi wa polisi utakapokamilika.

Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon Sirro amesema leo Machi 10, 2017, kuwa wasanii hao walikamatwa hivi karibuni katika mazingira ambayo hakutaja kutokana na masuala ya kiupelelezi.

Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari kwenye kituo kikuu cha polisi jijini leo Machi 10, 2017
Reactions:

0 comments:

Post a Comment