Wednesday, 1 March 2017

RAIS John Pombe Magufuli amemteua Mama Salma Kikwete kuwa Mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na ataapishwa kwa kufuata taratibu za bunge katika kikao cha bunge kinachotarajiwa kuanza mwezi ujao wa Aprili.
Taarifa fupi ya Ikulu iliyotolewa Alasiri hii ya Machi 1, 2017, imesema Mama Kikwete ni mke wa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment