Friday, 17 March 2017

 Wananchi wa kijiji cha Fukayosi, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakishangilia wakati Rais John Magufuli alipokuwa kizungumza nao wakati akiwa njiani kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam, leo Machi 17, 2017. Kijiji cha Fukayosi kiliingia kwenye mgogoro wa mapigano baina ya wakulima na wafugaji hvii karibuni hali iliyomsukuma kuingilia kati na kutoa maelekezo ya kushughulikia mgogoro huo haraka.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa  Fukayosi
wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji
akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea  katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Maggid Mwanga, akiongea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisiliza changamoto za wakulima na wafugaji katika kjijiji cha Fukayosi
wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea
katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea na wanakjijiji wa  Fukayosi wilayani humo aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji  akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea  katika ziara ya kikazi ya Dodoma leo Machi 17, 2017.
(PICHA NA IKULU)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment