Tuesday, 14 March 2017

 Wanadada wa "A-Town Show"  ambapo bendi ya Mount Meru Rickinest  waliporomosha burudani kubwa kwenye ukumbi wa Triple A jijini humo, wakiwa katika poz la picha.
 (Picha zote na Woinde Shizza,Arusha)
MERU
  Wasanii wa bendi ya Mounti Meru Rickinest , vijana wa Kaskazini, wakitoa burudani kwenye ukumbi wa Triple A jijini humo.
Waimbaji wa bandi ya  Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau  wa muziki wa bandi mkoani Arusha
 Waimbaji wakiwa wanaendelea kupata burudani na mashabiki
 Wmachachari wa bendi ya Rickinest wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani

 

 Wapenzi wa burudani waliohudhuria onyesho la bendi ya Rickinest
  Wapenzi wa burudani waliohudhuria onyesho la bendi ya Rickinest
 Wanadada wa A-Town  bendi ya Mount Meru Rickinest  wakiwa katika pozi

   Omary Matelephone, (kushoto), akiwa na shabiki mwngine wa muzikikwenye onyesho lililopambwa na bendi ya
Rickinest

Reactions:

0 comments:

Post a Comment