Friday, 17 March 2017

JESHOI
MWENYEKITI wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) Brigedia Jenerali Martin Amos Kemwaga, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusiana na mashindano ya vikosi vya ulinzi na usalama Tanzania itakayoanza kesho mjini Zanzibar.
JESHOI 1
 BAADHI ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) Brigedia Jenerali Martin Amos Kemwaga uliofanyika ukumbi wa mikutano katika uwanja wa Amani.
 JESHOI 2
BAADHI ya wajumbe wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMATA) wakimsikiliza Mwenyekiti wao Brigedia Jenerali Martin Kemwaga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.(Picha na Makame Mshenga – Maelezo Zanzibar.)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment