Thursday, 16 March 2017


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye,(aliyesimama), akizungumza na Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii pamo jana Uongozi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, (TBC), wakati kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Peter Serukamaba (Mb) ilipotembelea Shirika hilo Jijini Dar esSalaam leo Machi 16, 2017.

Pamoja na mambo mengine, Waziri Nape ameieleza kamati hiyo kamati kuwa mapitio ya mkataba kati ya TBC na kampuni ya Statimes yatamalizika mwezi huu wa machi.


Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania,(TBC),Dkt. Ayoub Ryioba, (aliyesimama), akieleza utendaji kazi wa Shirika kwa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya JamiiMwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba, (Mb) (aliyesimama), akizungmza.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment