Monday, 20 March 2017


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Swaziland , Barnabas Sibusiso Dlamini katika uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye hoteli ya Westin mjini Port Louis, Mauritius, Machi 20, 2017.  (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU) 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi za Afrika walioshiriki katika uzinduzi wa Jukwaa la Uchumi la Afrika kwenye Hoteli ya Westin mjini Port Louis nchini Mauritius Machi 20, 2017
Reactions:

0 comments:

Post a Comment