Thursday, 16 March 2017

Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) Dkt Hassan Abbasi akitoa mada katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo Marchi 17,2017.

Mkurugenzi Idara ya Habari( MAELEZO) Dkt Hassan Abbasi akitoa mada katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo Marchi 17,2017.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na  Michezo Bibi Nuru Millao akifuatilia mada katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo March 17,2017.

Baadhi ya Maafisa Mawasiliano Serikalini wakfuatilia amda katika kikao kazi cha maafisa Mawasiliano Serikalini kinachoendelea Mjini Dodoma Leo March 17,2017.(PICHA ZOTE NA RAYMOND MUSHUMBUSI-WHUSM)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment