Wednesday, 15 March 2017

Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema, (CHADEMA), leo Machi 15, 2017 amemsindikiza mahakamani Miss Tanzania wa zamani ambaye sasa ni mwanachama wa CHADEMA, Wema Sepetu, ambaye anakabiliwa na kesi ya kukutwa na msokoto wa bangi nyumbani kwake.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, ambayo ndiyo inayosikiliza kesi hiyo, imeiahirisha hadi Aprili 11, 2017. Kwa sasa wema yuko nje kwa dhamana. Pichani, Wema akiwa na Godbles Lema, wakati akitoka mahakamni hapo leo baada ya kesi kuahirishwa.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment