Sunday, 5 March 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mhe, Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Nchi hiyo akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Mawaziri na Maafisa aliofuatana nao,Rais Shein anamuwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini Indonesia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa kwenye mazunhgumzo na viongozi wakuu Nchini Indonesia Airlangga Hartarto mara alipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Nchi hiyo akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Mawaziri na Maafisa aliofuatana nao,Rais Shein anamuwakilisha Rais
John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini Indonesia.(PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment