Friday, 10 March 2017


Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika Machi 10, 2017, Ikulu ya  Chamwino mjini, Dodoma.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, alipowasili kuendesha kikao cha Usalama na Maadili, kilichofanyika leo Chamwino, Dodoma. Katikati ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Bw.Adam Kimbisa alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo Machi 10, 2017 kuhudhuria vikao mbali mbali vya Chama. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)


Reactions:

0 comments:

Post a Comment