Wednesday, 15 March 2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo Machi 15, 2017. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo Machi 15, 2017


Reactions:

0 comments:

Post a Comment