Monday, 13 March 2017


Mtendaji MkuuwaWakalawaUfundinaUmeme TEMESA Dkt.Mussa Mgwatu akijibuswali la mmoja wa wafanyakazi wa vivuko vya Kigongo/ Busisi wakati alipokua akisikiliza changamoto na kero zinazowakabili wafanyakazi wa vivuko hivyo.

Kushoto kwake ni Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Ferdinand Mishamo, Mhandisi Michael Myakana, na Mkuu wa vivuko,  AtikiAbdalah.


Mmoja wa Manahodha wa vivuko vinavyotoa huduma kati ya Kigongo na Busisi, Kelvin Willy akimuuliza swali.

NA ALFRED MGWENO - TEMESA, MWANZA
MtendajiMkuuwaWakalawaUfundinaUmeme(TEMESA)Dkt. MussaMgwatuamefanyaziarakatikavivukovyaKigongo/BusisimkoaniMwanzavinavyosimamiwanaWakalahuonakujioneautendajikazi wake. Akiongeanawatumishiwavivukohivyobaadayakutembeleanakukaguamiundombinuyake,Dkt. Mgwatualiwatakawatumishihaokuongezabidiiyakazinakuzibamianyayauvujajiwamapatoilikuhakikishakuwamapatoyanayopatikananihalisi.
KatikaziarahiyoDkt. Mgwatualitembeleapiachumbamaalumu cha mifumoya TEHAMA inayosimamiaukatajinautumiajiwatiketinakujioneajinsiinavyofanyakazi. Aliwatakawataalamuwakitengohichokujiridhishakamamifumohiyoinafanyakaziipasavyonawalahaitoimwanyawakuhujumumapato. Alisema“tunafanyauhakikiwamatumiziyamifumoya TEHAMA katikakituohikinaikibainikamifumohiyoimechezewatutachukuahatua kali”.
Awalikatikakikaohichonawatumishi, MenejawaWakalawaUfundinaUmemeTEMESA MkoawaMwanzaMhandisi Ferdinand MishamoalimuelezeaMtendajiMkuuchangamotombalimbaliambazowanakumbananazokatikautendajikazikituonihapoikiwanipamojanauchakavuwavivuko, ukosefuwausafirikwawatumishinaupungufuwawafanyakaziwakadaza unahodhanaubaharia.
Dkt. MgwatualikuwamkoaniMwanzakwaajiliyakujioneautendajikaziwavivukovyaMV Misungwi, MV SengeremanaMV SabasabaambavyovyotevinatoahudumakatiyaKigongonaBusisiwilayaniMisungwi.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment