Thursday, 9 March 2017


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana   Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akirejea Nchini leo kutokea Indonesia katika   Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA)alipomuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.]


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana   Wazee wa Chama cha Mapinduzi  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati akirejea Nchini leo kutokea Indonesia katika   Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA)alipomuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati aliporejea nchini kutokea Nchini Indinesia na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Ujumbe aliofuatananao waliposhiriki  katika   Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi (INDIAN ASSOCIATION-IORA)alipomuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.]
Reactions:

0 comments:

Post a Comment