Monday, 27 March 2017


Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe. Alphayo Kidata akilakiwa na Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe. Peter
Ilomo, alipofika kukabidhiwa ofisi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017.(PICHA NA IKULU)Katibu Mkuu Ikulu mpya Mhe Alphayo Kidata akisaini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake
kuanza kazi rasmi leo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu Ikulu Mstaafu Mhe Peter Ilomo ambaye alimkabidhi rasmi ofisi
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 27, 2017
Reactions:

0 comments:

Post a Comment