Monday, 6 February 2017

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt.
Augustine Mahiga (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi, Mhe. Francis Kaisala wakisaini Mikataba miwili ya kushirikiana katika Mashauriano ya Kisiasa na Kidiplomasia na Usafiri wa Anga. Uwekaji saini huo ulifanyika jijini Lilongwe siku ya Jumapili tarehe 05 Februari
2017

Reactions:

0 comments:

Post a Comment