Thursday, 16 February 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16, 2017.  (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri  ya wilaya ya Simanjiro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara , Febuari 16, 2017.

Mkuu wa  Wilaya ya Simanjiro, Mhandisi  Zephania Chaula akisoma taarifa ya wilaya hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet  Februari 16, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya wilaya ya Simanjiro kutoka kwa Mkuu wa wilaya hiyo, Mhandisi Zephania Chaula baada ya kusomewa taarifa hiyo kwenye Ikulu ndogo ya  Orkesimet  akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka Mzee Mbambire Oloi Kurukur, jani la mti ikiwa ni ishara ya amani ya kukomesha mapigano kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa  Kiteto, Februari 15, 2017.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka kwa  Katibu wa Baraza la Amani la  Kiteto,  Salum Mambo, jembe la asili  ikiwa ni ishara ya kukoma kwa mauaji kati ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto katika mkutano wa hadhara aliouhutubi kweye uwanja wa michezo wa Kiteto, Februari 15, 2017.
Wananchi wa Kiteto wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia  mkutano wa  hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto Februari 15, 2017.
Wananchi wa Kiteto wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia  mkutano wa  hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Kiteto Februari 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye  uwanja wa michezo wa Kiteto  akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment